Pata taarifa kuu
Mjadala wa Wiki

MJADALA KUHUSU MKUTANO WA AMANI KUHUSU SYRIA MNAMO JANUARI 22 2014

Imechapishwa:

Leo katika mjadala wa wiki tunajadili kuhusu kutangazwa kwa tarehe ya mazungumzo ya pili ya mjini Geneva kuhusu mzozo wa Syria uliodumu kwa miezi 32 na kusababisha vifo vya watu zaidi ya laki moja na elfu ishirini. Flora Mwano anajadili suala hili na Francis Onditi mchambuzi wa masuala ya usalama na siasa za kimataifa kutoka nchini Kenya pamoja na Profesa Mwesiga Baregu mctaalamu wa siasa za kimataifa akiwa nchi Tanzania. Karibu

Wanadiplomasia katika mzozo wa Syria John Kerry, Lakhdar Brahimi na Sergei Lavrov
Wanadiplomasia katika mzozo wa Syria John Kerry, Lakhdar Brahimi na Sergei Lavrov
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.