Pata taarifa kuu
Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa kiuchumi mjini Davos, Uswis

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia mkutano wa kiuchumi wa World Economic Forum unaofanyika mjini Davos, Uswis, mkutano ambao unajadili hali ya uchumi wa dunia.

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonthan akiwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakijadili mada kwenye mkutano wa kiuchumi unaofanyika mjini Davos
Rais wa Nigeria, Goodluck Jonthan akiwa na rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma wakijadili mada kwenye mkutano wa kiuchumi unaofanyika mjini Davos REUTERS/Pascal Lauener
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.