Pata taarifa kuu

Kwa picha: Urusi yakumbwa na uasi wa kundi la wanamgambo wa Wagner

Gavana wajimbo la Voronezh, lililoko takriban kilomita 600 kusini mwa Moscow, ametangaza siku ya Jumamosi kuwa vikosi vya Urusi vinapigana kama sehemu ya operesheni ya kupambana na ugaidi iliyoanzishwa baada ya kuingia katika uasi wa kundi la wanamgambo la Wagner. Hapo awali, kiongozi wake Yevgeny Prigozhin alisema amechukua udhibiti wa eneo la Rostov-on-Don.

Washirika wawili wamekuwa maadui Urusi. AP
Kusambaza :
Matangazo ya kibiashara
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.