Pata taarifa kuu

Tuzo za Muziki za MTV Europe za 2023 zafutwa kwa sababu ya vita kati ya 'Israel na Gaza'

MTV imechukuwa uamuzi Alhamisi hii, Oktoba 19, wa kufuta sherehe ya Tuzo za Muziki 2023 MTV Europe Music ( zijulikanazo kama MTV Europe Music Awards)) iliyopangwa kufanyika huko Villepinte, katika mkoa wa Paris, Novemba 5 "kutokana na matukio makubwa yanayotokea Israel na Gaza.

Tuzo za MTV Europe Music.
Tuzo za MTV Europe Music. AFP
Matangazo ya kibiashara

" Katika taarifa kwa vyombo vya habari, idhaa ya Marekani imetangaza "hadhari kwa maelfu ya wafanyakazi, wanachama wa timu, wasanii, mashabiki na washirika ambao walipanga kusafiri kutoka pembe nne za dunia ili kushiriki katika mafanikio ya sherehe hii ". Nyota wengi kama David Guetta walitarajiwa kwenye sherehe hii.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.