Pata taarifa kuu

Mataifa mbalimbali yalaani mashambulio dhidi ya Israeli

Mataifa mbalimbali ya dunia yamejitokeza kulaani mashambulio yanayoelekezwa dhidi ya Israeli kutoka katika Ukanda wa Gaza.

Italia katika taarifa yake inasema inaunga mkono kile ambacho imetaja kama hatua ya haki ya Israeli kujilinda dhidi ya shambulio la kikatili
Italia katika taarifa yake inasema inaunga mkono kile ambacho imetaja kama hatua ya haki ya Israeli kujilinda dhidi ya shambulio la kikatili AP - Tsafrir Abayov
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.