Pata taarifa kuu

Israeli: Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu amesema nchi yake iko vitani

Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema nchi yake iko kwenye kile ambacho amekitaja kama vita na kundi la wanamgambo wa Palestina Hamas baada ya misururu ya maroketi kurushwa kutoka Ukanda wa Gaza kuelekea Israeli mapema leo Jumamosi.

Waziri Mkuu wa Israeli anasema nchi yake iko vitani dhidi ya kundi la Hamas
Waziri Mkuu wa Israeli anasema nchi yake iko vitani dhidi ya kundi la Hamas AP - Ohad Zwigenberg
Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.