Pata taarifa kuu

Nyuklia: Iran yalaani azimio la ‘kisiasa na lisilo la kujenga’ la IAEA

Iran imeliita azimio la "kisiasa na lisilo la kujenga" lililopitishwa na shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA) linaloikosoa Tehran na kuitaka "kushirikiana" na IAEA.

Bendera ya Irani ikipepea mbele ya makao makuu ya shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA),, huko Vienna, Austria Mei 23, 2021.
Bendera ya Irani ikipepea mbele ya makao makuu ya shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki (IAEA),, huko Vienna, Austria Mei 23, 2021. REUTERS - Leonhard Foeger
Matangazo ya kibiashara

"Iran inalaani kupitishwa kwa azimio lililowasilishwa na Marekani, Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wakati wa Bodi ya Magavana wa IAEA, ilitaja kuwa ni hatua ya kisiasa, isiyo ya kujenga na isiyo sahihi, imesema taarifa kutoka kwa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran leo Alhamisi.

Siku moja kabla, msemaji wa Shirika la Nishati ya Atomiki ya Irani, Behrouz Kamalvandi, alitangaza kwamba sehemu ya kamera za uchunguzi za IAEA zilizowekwa kwenye mitambo ya kurutubisha madini ya uranium nchini zilicomolewa kwenyeumemea na hazifanyi kazi, na hivyo tabia mbaya ya Marekani, Ufaransa, Ujerumani na Uingereza kwa nchi hiyo.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.