Pata taarifa kuu
YEMEN

Saudi Arabia kuwaachia huru wapiganaji wa Houthi

Jeshi la pamoja nchini Saudi Arabia, linaongoza vita dhidi ya wanajihadi wa kundi la Huthi la nchini Yemen, Limetangaza kuaachia huru baadhi ya wafungwa waasi wa kundi hilo.

Wapiganaji wa Houthi nchini Yemen
Wapiganaji wa Houthi nchini Yemen AP - Hani Mohammed
Matangazo ya kibiashara

Jeshi limesema kuwa limefanya haya kama njia moja ya kumaliza mapigano ya miaka saba sasa.

Wiki iliyopita, Jeshi hilo lilitangaza kuwa litawaachia huru wafungwa 163 waotuhumiwa kwa kuendeleza uhasama dhidi ya Saudi Arabia.

Mapigano kati ya pande hizi mbili yamesababisha vifo vya mamia ya elfu wa raia, ambapo pia Yemen imekumbwa na baa la njaa kutokana na machafuko haya.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.