Pata taarifa kuu
MAREKANI-SAUDI ARABIA

Barack Obama ziarani Saudi Arabia

Rais wa Marekani Barack Obama amewasili nchini Saudi Arabia kwa ziara ya siku mbili.

Barack Obama ziarani Saudi Arabia..
Barack Obama ziarani Saudi Arabia.. MOLLY RILEY / AFP
Matangazo ya kibiashara

Obama anatarajiwa kutumia ziara hii kuonyesha ushirikiano wa nchi hiyo katika vita dhidi ya Wanajihadi.

Mzozo wa Syria na Yemen pia utajadiliwa katika ziara hiyo.

Baadhi ya wanasiasa nchini Marekani walishtumu ziara hii ya rais Obama wakiishtumu serikali ya Riyadh kwa kuhusika na shambulizi ya kigaidi mwaka 2001.

Rais Obama pia atahudhuria mkutano wa mataifa ya Ghuba.

Kusambaza :
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.