Maktaba za Amerika za Jumatatu 31 Desemba 2012
Previous day: 23 Desemba 2012-
Waziri Clinton akabiliwa na maradhi ya kuganda kwa damu na kulazimika kufikishwa Hospital kwa matibabu
-
Rais Chavez akabiliwa na maradhi mengine akiendelea kupatiwa tiba nchini Cuba na hali yake mbaya
-
Hofu yatanda nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati huku Waasi wa Seleka wakitishia kuuchukua Mji wa Bangui
-
Wabunge wa Marekani wanapambana kuhakikisha wanapitisha Bajeti ya nchi hiyo licha ya tofauti walizonazo