Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Msanii chipukizi Hussein Rashid azungumzia safari yake nchini Tanzania

Imechapishwa:

Mkoa wa Kigoma ,magharibi mwa Tanzania mwambao mwa ziwa Tanganyika ni miongoni mwa mikoa iliyotoa wasanii wakubwa nchini akiwemo Ali Kiba, sasa vijana Chipukizi wanaibuka kufanya sanaa hiyo. Kutana na Hussein Rashid Msanii chipukizi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.


Ziwa Tanganyika linalotenganisha Tanzania na nchi nyingine jirani kama Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Juni 10, 2023
Ziwa Tanganyika linalotenganisha Tanzania na nchi nyingine jirani kama Burundi, na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Juni 10, 2023 wikipedia
Vipindi vingine
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.