Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Muziki wa kizazi kipya unavyotia fora nchini Tanzania

Imechapishwa:

Makala ya Nyumba ya Sanaa ya juma hili, inamwangazia msanii Steven Charles almaarufu Samertz ni mtayarishaji wa muziki wa kizazi kipya kutoka nchini Tanzania, sasa amegeukia uimbaji wa muziki huo, Je nini kimetokea kiasi cha kuanza kuimba? ungana na Steven Mumbi akizungumza na Msanii huyo katika Makala ya Nyumba ya Sanaa.

Msanii wa muziki Steven Charles Maarufu Samertz kutoka Tanzania, Mei 26, 2023
Msanii wa muziki Steven Charles Maarufu Samertz kutoka Tanzania, Mei 26, 2023 © Steaven Mumbi, RFI Kiswahili
Vipindi vingine
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.