Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Nyimbo za Injili zakumbwa na mabadiliko ya kiteknolojia Afrika mashariki

Imechapishwa:

Mabadiliko ya Sanaa ya uimbaji yamewafikia waimbaji wa nyimbo za Injili, sasa wanafanya Sanaa hiyo kwa kuendana na hali ya mabadiliko ya kiteknolojia kwenye sanaa ya muziki wa kisasa. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Nyumba ya Sanaa akizungumza na muimbaji wa nyimbo za Injili Goodluck Gozbert.

GoodLuck Gozbert msanii wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Juni 2022
GoodLuck Gozbert msanii wa nyimbo za Injili nchini Tanzania Juni 2022 © Facebook Gozbert
Vipindi vingine
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.