Pata taarifa kuu
Nyumba ya Sanaa

Namna ya kuhifadhi ala na miziki ya kale nchini Kenya

Imechapishwa:

Ala za muziki zilizokuwa zinatumiwa zamani katika mataifa mengi ya Afrika, zimeanza kusahaulika. Huko nchini Kenya, serikali kupitia makavazi ya Bomas of Kenya, inahifadhi ala, muziki ,na tamaduni za kale/zamani kwa lengo la kudumisha ,  kuhifadhi  na kufundisha utamaduni wa nchi hiyo. Mengi zaidi ni katika Makala haya, yanayomshirikisha Mwandishi wetu Steven Mumbi na Victor Abuso.

Wasanii mbalimbali nchini Kenya, wanavyoonesha utamaduni wa nchi hiyo.
Wasanii mbalimbali nchini Kenya, wanavyoonesha utamaduni wa nchi hiyo. © Bomasofkenya
Vipindi vingine
  • 20:12
  • 20:03
  • 20:02
  • 20:09
  • 20:03
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.