Muziki Ijumaa
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Soma yanayofuataSikiliza kipindi kilichopita
-
Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali09/06/202310:00 -
Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa
Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto ndani ya Makala Muziki ijumaa.28/05/202312:09 -
Burudani moto moto ndani ya muziki ijumaa
Karibu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii19/05/202310:02 -
Burudani Murua ndani ya Muziki Ijumaa
Karibu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili 28 202328/04/202310:00 -
09:59
-
Muziki na tumbuizo maalum
Karibu kuungana na mtangazaji wetu mwandamizi Reuben Lukumbuka anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya marchi 24 202324/03/202310:08 -
MUZIKI IJUMA
Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.17/03/202310:23 -
Muziki wa kipeke ndani ya rfi Kiswahili
Kila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa.03/03/202311:28 -
Midundo motomoto ndani ya mitambo ya rfi kiswahili
Ukikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.20/01/202315:28 -
Midondo motomoto ndani ya rfi Kiswahili
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa waskilizaji wake kuomba muziki ndani ya makala ya Muziki Ijumaa.Skiza vibao vya bomba vya juma hili.26/08/202214:01 -
Burudani hii ni asilimia 100 chaguo la msikilizaji
Makala haya yanakuletea Burudani ya Muziki uliochaguliwa na waskilizaji15/07/202210:08 -
Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.09/07/202215:34 -
Miondoko ya kisasa na mchanganyiko kwako msikilizaji
Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora…Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia10/06/202210:05 -
Burudani ya muziki na Ali Bilali rfi Kiswahili
Makala yako Muziki ijumaa inakuletea mchanganyiko wa burudani waliochaguwa waskilizaji, juma hili usukani unaongozwa na Ali Bilali.25/05/202210:00 -
Burudani ya muziki
Leo tunaletea burudani ya muziki kuanzia rhumba, raggae. Burudika hapo ulipo.04/05/202210:19
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.