Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Hatua zitakazochukuliwa baada ya azimio la pamoja la COP28 huko Dubai

Imechapishwa:

Mkutano wa COP28 uliafikia mataifa mbalimbali kuanza polepole kuachana na matumizi ya mafuta ya kisukuku, mataifa ya Afrika yakitoa wito wa mataifa yenye nguvu na yanayozalisha nishati hii kwa wingi kuwa mfano katika utekelezwaji wa hilo.

Members of Greenpeace gather for a photo around a sign that reads "we will end fossil fuels" at the COP28 U.N. Climate Summit, Wednesday, Dec. 13, 2023, in Dubai, United Arab Emirates.
Wanachama wa shirika la mazingira la Greenpeace wakibeba ishara inayosomeka tutakomesha nishati ya kisukuku katika Mkutano wa COP28, Jumatano, Disemba 13, 2023, huko Dubai, Falme za Kiarabu. AP - Rafiq Maqbool
Matangazo ya kibiashara

Mwenyekiti wa shirika la vijana la Youth Survival Organization, YSO, linalojihusisha pia na mzingira, Humphrey Mrema kutoka nchini Tanzania, anaangazia jinsi mkutano wa COP28 ulivyokuwa na mambo yanayoweza kutekelezwa na nchi kufikia mwaka 2030 lakini pia mwaka 2050.

Vipindi vingine
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
  • 09:46
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.