Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mbinu za kiasili ili kukabiliana na changamoto za kijamii na hali ya hewa

Imechapishwa:

Suluhu za kiasili zinashirikisha hatua mbalimbali za kulinda na kurejesha mandhari ya bahari, maeneo ya maji na maeneo ya mijini ili viumbe hai waweze kukabiliana na changamoto kama vile usalama wa chakula na maji, mabadiliko ya hali ya hewa, hatari za maafa na afya ya binadamu.

Kukumbatia suluhu za kiasili katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Kukumbatia suluhu za kiasili katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa © TNC
Matangazo ya kibiashara

Suluhu hizi zinasaidia urejesho wa misitu, ardhioevu na pia kuabdili mbinu za kilimo zinazosaidia udongo wenye afya.

Kuangazia suluhu hizi za kiasili katika mabadiliko ya hali ya hewa, tunaungana naye Fredrick Kihara, Mkurugenzi wa hazina ya maji Afrika katika shirika la The Nature Conservancy, TNC, nchini Kenya.

Wanawake wamejitwika jukumu la kukumbatia mbinu za kiasili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa
Wanawake wamejitwika jukumu la kukumbatia mbinu za kiasili kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa © TNC
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
  • 09:46
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.