Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Jamii katika Pwani ya Kenya inavyotumia mswaki "Toothbrush" kurejesha mifumoikilojia ya matumbawe

Imechapishwa:

Mkutano wa mazingira wa kimataifa COP28 unaendelea jijini Dubai, Saudi Arabia, lengo lake likiwa ni kuangazia namna ya dunia kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Mswaki unavyotumiwa kusafisha matumbawe
Mswaki unavyotumiwa kusafisha matumbawe © RFI
Matangazo ya kibiashara

Katika muktadha huo, mifumoikolojia ya bahari, ni nguzo muhimu katika kuisaidia dunia kuafikia lengo hili, kutokana na sababu kuwa bahari inasaidia kufyonza  asilimia 25 ya hewa ya kaboni.

Hata hivyo, ongezeko la utoaji wa gesi hamijoto umeathiri pakubwa mifumoikolojia ya bahari zetu.

Katika makala yetu hivi leo, tunatupia jicho namna jamii eneo la Pwani ya Kenya zinajihusisha na shughuli za urejesho wa mifumoikilojia ya matumbawe.

Matumbawe katika hifadhi ya Pate kisiwani Lamu
Matumbawe katika hifadhi ya Pate kisiwani Lamu © NRT
Vipindi vingine
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
  • 09:46
  • 09:59
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.