Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Mkusanyiko wa matukio muhimu ya mazingira katika mwaka wa 2022

Imechapishwa:

Katika makala haya ya Kwanza katika mwaka wa 2023, nitakuwa nikukukumbusha msikilizaji baadhi ya matukio makuu katika sekta ya mazingira yaliofanyika katika mwaka uliopita, lengo likiwa kukutumbusha kuwa suala la mazingira yetu ni suala la dharura na linahitaji kushughulikiwa ipaswavo.

Milima ya taka za plastiki huko Karachi, Pakistani, Juni 4, 2022.
Milima ya taka za plastiki huko Karachi, Pakistani, Juni 4, 2022. © Fareed Khan/AP
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.