Pata taarifa kuu
Mazingira Leo, Dunia Yako Kesho

Matumizi ya puto kwenye usafiri wa angani katika sekta ya utalii nchini tanzania

Imechapishwa:

Wakati dunia inapoendelea kukusanya mikakati ya kupambana na mabadiliko ya Tabia nchi, sekta ya utalii nchini Tanzania imeboresha mfumo wa Usafirishaji wa watalii kwa kutumia Puto zenye injini isiyotumia Mafuta kutoa moshi.Mwenzangu Ruben Lukumbuka amezungumza NA jOHN CORSE ni mkurugenzi wa Ballon Serengeti Safaris kuangazia mbinu zao. 

Puto ya hewa ya moto
Puto ya hewa ya moto © Serengeti Ballon Safaris Facebook
Vipindi vingine
  • 10:12
  • 10:10
  • 10:03
  • 09:59
  • 10:09
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.