Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Je haki za mtoto wa kiume unazifahamu, na je unafikiri zimekiukwa?

Imechapishwa:

Katika makala haya mtetezi wa haki za mtoto wa kiume Faith Maina Wanjiku, anasisitiza kwamba kampeini  za kumpa uwezo mtoto wa kike ndizo zimechangia kudidimia kwa hadhi ya mtoto wa kiume.

Mtetezi wa haki za mtoto wa kiume Faith Wanjiku Maina, Kulia ndani ya Studio za RFI Kiswahili pamoja na mtangazaji, bwana Benson Wakoli.
Mtetezi wa haki za mtoto wa kiume Faith Wanjiku Maina, Kulia ndani ya Studio za RFI Kiswahili pamoja na mtangazaji, bwana Benson Wakoli. © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Wajiku Maina raia kutoka nchini Kenya, anasema katika jamii ya leo hakuna anayeshughulikia haki na majukumu ya mtoto wa kiume, hali ambayo imechangia kizazi kizembe cha mtoto wa kiume.

 

Skiza makala haya kufahamu suluhu kwa baadhi ya changamoto za mtoto wa kiume.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.