Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

DRC : Jamii ya mbilikimo yalilia serikali kuwapa nafasi kuhudumu serikalini

Imechapishwa:

Nchini DRC , mara kwa mara jamii ya mbilikimo ama wambute kama wanavyo julikana katika taifa hilo, wamekuwa kilalamikia kile wanachodai  kubaguliwa na raia kutoka jamii ya wabantu nchini DRC.


Katika picha hii ya Machi 18, 2010, wanaume aina ya Mbuti, kutoka kushoto, Faizi Malambi, Kawaya Situka, Besei, na Kange Ambali wakiwa wamebeba nyavu zao za kuwinda na mikuki wakisubiri kuanza kwa msako wa siku hiyo, katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi nje ya mji. wa Epulu, Kongo.
Katika picha hii ya Machi 18, 2010, wanaume aina ya Mbuti, kutoka kushoto, Faizi Malambi, Kawaya Situka, Besei, na Kange Ambali wakiwa wamebeba nyavu zao za kuwinda na mikuki wakisubiri kuanza kwa msako wa siku hiyo, katika Hifadhi ya Wanyamapori ya Okapi nje ya mji. wa Epulu, Kongo. ASSOCIATED PRESS - Rebecca Blackwell
Matangazo ya kibiashara

Jamii hiyo imekuwa ikidai wameachwa nje kwenue nyadhifa kama vile viongozi wa nyumba 10 hadi cheo cha rais, wanadai hakuna raia kutoka jamii hiyo anashikilia wadhifa wowote serikali.

Moja ya mashirika za haki za binadamu kwa jina  " Greats lakes Human Right Programme" katika ripoti ya hivi karibuni , imesema kwamba sheria nzuri zipo za kuwalinda na kutetea haki za mbilikimo , ila utekelezaji wake ndio umekuwa changamoto.

Mwandishi wetu wa Beni nchini DRC Eriksson Luhumbwe amezungumza na raia hao kutoka jamii ya mbilikimo na kutuandalia ripoti hii, skiza.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.