Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Kenya : Wasanii walilia haki yao

Imechapishwa:

Muungano wa wanamziki nchini Kenya (MAAK), unamtaka mwenyekiti wa Shirika la  Hakimiliki ya Muziki ya Kenya, Ezekiel Mutua kujiuzulu kutokana na kile wanadai amekuwa akipora peza za wamziki.

Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la  Hakimiliki ya Muziki ya Kenya, EZEKIEL-MUTUA
Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la Hakimiliki ya Muziki ya Kenya, EZEKIEL-MUTUA © Ezekiel Mutua
Matangazo ya kibiashara

Kupitia taarifa  muungano huo, unasema Mutua amekuwa akijilimbikizia pesa za wasanii huku wahusika wakiendelea kusalia maskini.

 

Ili kufahamu zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.