Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki ya kutali Africa bila vikwazo

Imechapishwa:

Ni vigumu kwa watu wachache kutumia usafiri wa beskeli hapa Africa lakini Yusufu raia wa Morocco kwake kutali Africa kwa kuendesha beskeli ni kama kazi.

Mwanahabari Benson Wakoli Kushoto, na bwana Yusuf raia wa Morocco anayetalia Africa kwa kutumia baiskeli (Kulia)
Mwanahabari Benson Wakoli Kushoto, na bwana Yusuf raia wa Morocco anayetalia Africa kwa kutumia baiskeli (Kulia) © rfi Kiswahili
Matangazo ya kibiashara

Benson Wakoli aliketi chini na Yusuf, kuthamini safarizake barani Africa na jinsi gani amekuwa akipokelewa na raia wa mataifa mengine.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.