Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Human watch yatahumu jamii ya kimataifa kwa kukosa kusadia Sudan

Imechapishwa:

Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu Human Right Watch limetuhumu jamii ya kimataifa kwa kukosa kushughulikia vita vinavyoendelea nchini Sudan.

Shirika la kimataifa la kutetea haki za bindamu, Human Right Watch.
Shirika la kimataifa la kutetea haki za bindamu, Human Right Watch. © HUMAN RIGHT WATCH
Matangazo ya kibiashara

Kwa mjibu wa ripoti ya kila mwaka ya shirika hilo, jamii ya kimataifa haijafanya juhudi za kutosha kushawishi pande hasimu nchini Sudan Kusitsha vita.

 

Ili Kufahamu negi zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.