Jua Haki Zako
Uhalifu wa kivita unafanyika Sudan : Amnesty International
Imechapishwa:
Cheza - 10:00
Shirika la kimataifa la ketetea haki za binadamu Amnesty International katika repoti yake ya hivi punde limesema pande hasimu nchini Sudan, zinatekeleza uhalifu wa kivita na kutaka jamii ya kimataifa kuingilia kati kunusuru hali.