Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki ya raia wa wafaarika kuabudu

Imechapishwa:

Katika makala haya  tunaangazia haki ya kuadubudu ambapo nchini Kenya uhuru huo umesbabisha vifo vya zaidi ya watu 200 kupoteza maisha yao kutokana na mafunzo potovu ya mchangaji Paul Mackenzi.

Paul Mackenzie, mwenye umri wa miaka 50, kiongozi wa madhehebu ya Kenya anayetuhumiwa kuwaamuru wafuasi wake wa Kanisa la Good News International wafe kwa njaa katika msitu wa Shakahola, afikishwa katika Mahakama ya Malindi, Malindi, Kenya, Mei 2, 2023. REUTERS/ Stringer UBORA BORA UNAOPATIKANA
Paul Mackenzie, mwenye umri wa miaka 50, kiongozi wa madhehebu ya Kenya anayetuhumiwa kuwaamuru wafuasi wake wa Kanisa la Good News International wafe kwa njaa katika msitu wa Shakahola, afikishwa katika Mahakama ya Malindi, Malindi, Kenya, Mei 2, 2023. REUTERS/ Stringer UBORA BORA UNAOPATIKANA REUTERS - STRINGER
Matangazo ya kibiashara
Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa baadhi ya miili haina viungo vyake, polisi wakisema huenda kulikuwepo na ulanguzi wa sehemu za viungo vya binadamu
Uchunguzi wa maiti umebaini kuwa baadhi ya miili haina viungo vyake, polisi wakisema huenda kulikuwepo na ulanguzi wa sehemu za viungo vya binadamu REUTERS - STRINGER

 

Mackenzi anadaiwa kuwashawishi wafuasi wake kufunga, yaani kukaa bila kula chakula hadi kufa ili kuonana na Masi Yesu Kristo mwana wa Mungu.

Kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.