Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Mashoga na wasagaji wakimbizi walilia haki nchini Kenya

Imechapishwa:

Shirika la kimataifa la kutetea haki za biandamu Amnesty International limechapisha ripoti kuhusu kudhulumiwa kwa haki za mashago na wasagaji nchini Kenya, ripoti hiyo hasa ikijikiita zaidi  kwa wakimbizi na watafuta hifadhi katika kimbi kubwa ziadi nchini Kenya ya Kakuma;

Bendera ya LGBTQ ilipeperushwa huko New York wakati wa Fahari ya Mashoga. Juni 22, 2022
Rangi hii huwatambulisha mashoga
Bendera ya LGBTQ ilipeperushwa huko New York wakati wa Fahari ya Mashoga. Juni 22, 2022 Rangi hii huwatambulisha mashoga AFP - ANGELA WEISS
Matangazo ya kibiashara

 

Kambi ya Kakuma, Kenya
Kambi ya Kakuma, Kenya Sebastien Nemeth/RFI

Kambi ya kakuma ni nyumbani kwa zaidi ya watafuta hifadhi na wakimbizi 200,000  ikiwemo familia ya  mashoga na wasagaji.

Ili kufahamu mengi zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.