Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Hali ya haki za binadamu nchini Tanzania

Imechapishwa:

Shirika la kimataifa la kutetea haki za bindamu Amnesty Internatonal limeeleza wasiwasi wake kuhusu namna serikali ya Tanzania inavyotumia nguvu kupita kiasi kufurusha jamii ya Maasai ambayo inaishi eneo la Ngorongoro na Loliondo.

RFI
Matangazo ya kibiashara
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikutana na kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe baada ya kufutiwa mashtaka na Mahakama (04/03/2022)
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akikutana na kiongozi wa upinzani Freeman Mbowe baada ya kufutiwa mashtaka na Mahakama (04/03/2022) © ikulumawasliano
Amnesty linasema serikali ya Tanzania haikushauriana na jamii hiyo kabla ya kuanza zoezi la kuwaondoa wenyeji hao katika ardhi zao asilia.

Kwa mengi zaidi skiza makala haya.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.