Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki ya dhamana nchini Uganda matatani

Imechapishwa:

Rais wa Uganda amependekeza dhamana ya kuondolewa kwenye kifungu cha katiba ya taifa hilo, akidai inatumika visivyo.Makala haya yanaangazia athari ya kuondelewa kwa kifungo hicho kwa katiba ya Uganda.

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akiwa kwenye ikulu ya  Entebbe,  9 Novemba 2019.
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, akiwa kwenye ikulu ya Entebbe, 9 Novemba 2019. © AFP - Sumy Sadurni
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.