Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki za wanawake katika nyadhifa za uongozi Afrika Mashariki

Imechapishwa:

Kwenye makala haya tunajikita kwenye haki za wanawake kuwania au kuteuliwa kwenye nyadhifa mbalimbali za uongozi katika bara la Africa hasa Africa Mashariki.Mwenyekiti wa chama cha mawili wanawake nchini Kenya, FIDA, Nacy Ikinu, Mbunge Milly Odhiambo kutoka Kenya,  na Lucy Githaika ambaye ni mkurungezi wa shirika la kutetea wanawake la Diakonia, wanashiriki mahakala haya.

Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikagua vikosi vya ulinzi vya Kenya katika Ikulu ya Nairobi, Kenya, Mei 4, 2021.
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akikagua vikosi vya ulinzi vya Kenya katika Ikulu ya Nairobi, Kenya, Mei 4, 2021. REUTERS - BAZ RATNER
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.