Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki za raia wanaokimbia Afghanistan

Imechapishwa:

Katika makala haya Benson wakoli anazungumza  na wakili Ojwang Agina, anayetoa mtazamo wa kisheria kuhusu  haki za raia wanaokimbia Afghanistan na mwanahistoria , Lugete Mussa Lugete,  ataeleza ni vipi taifa la Afghanistan limejipata kwenye nafasi ya sasa.

Raia wa Afghanistan wakiwa ndani ya ndege ya jeshi la Amerika wakati wanajiandaa kuondoka Afghanistan katika uwanja wa ndege wa jeshi huko Kabul
Raia wa Afghanistan wakiwa ndani ya ndege ya jeshi la Amerika wakati wanajiandaa kuondoka Afghanistan katika uwanja wa ndege wa jeshi huko Kabul Shakib RAHMANI AFP
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.