Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Haki ya Punda kuendelea kukiukwa

Imechapishwa:

Katika makala haya  tunaangazia haki za mnyama punda  ambaye ametejwa kuwa muhimu sana katika sekta ya uchukuzi na hata kuimarisha uchumi kwa kuwapa ajira raia wanaowafuga.

Ngozi za punda hutumiwa kutengeneza dawa ya asili inayojulikana kama ejiao, ambayo inaaminika kuboresha mtiririko wa damu
Ngozi za punda hutumiwa kutengeneza dawa ya asili inayojulikana kama ejiao, ambayo inaaminika kuboresha mtiririko wa damu © Benson Wakoli
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.