Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Watoto kupotea wakati wa vita au uvamizi

Imechapishwa:

Visa vya uvamizi au vita vya kikabila vimechangia sana, watoto kupoteleana na familia zao, baadhi ya mashariki yakilazimika kuchukua hatua ya kupatanisha watoto waliopotea na familia zao.katika makala haya bado Benson wakoli anazungumza na Jeffa Jenga Mbungwa, mkurugezi mkuu wa shirika la Grass root Epowerement and development organization, linaloendesha shughuli zake nchini Sudan Kusini

Wapiganaji wachanga wa Seleka, huko Bangui, Julai 25, 2013
Wapiganaji wachanga wa Seleka, huko Bangui, Julai 25, 2013 AFP PHOTO / XAVIER BOURGOIS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.