Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Usajili wa watoto kwa makundi ya waasi

Imechapishwa:

Taifa la Sudan Kusini limeshutumiwa na umoja wa mataifa kwa kukiuka haki mbalimbali za binadamu moja wepo ikiwa kuwasajili watoto kuwa wanajeshi.Katika makala haya  Jeffa mbugwa Njenga,  ni mkurugezi mkuu wa shirika lisilokuwa la kiserekali la Grass Root empowerement and deveopment organization, ambalo linajishuhulisha na shughuli mbali mbali za kusaidia  raia sudan Kusini, kuu likiwa kuwasadia watoto ambao husajiliwa kwa jeshi na baadaye kurejea kwa jamii

Msemaji wa jeshi nchini Sudan Kusini Meja jenerali Lul Ruai Koang
Msemaji wa jeshi nchini Sudan Kusini Meja jenerali Lul Ruai Koang © Benson Wakoli
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.