Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Ukeketaji bado unafanyika barani Afrika

Imechapishwa:

Katika makala haya tunadali swala ukeketeji wa wanawake barani afrika, ambalo kwa mjibu wa shirika la afya dunia WHO, mataifa 29 katika bara hili bado ya wanakeketa wanawake licha ya hamishisho ambazo zimefanywa kwa jamii kuachana na mila hiyo ambayo imepitwa na wakati na mbayo ina mathara mengi ya kiafya kwa wanawake.

Moja ya kifaa ambacho hutumika wakati wa ukeketaji
Moja ya kifaa ambacho hutumika wakati wa ukeketaji UN
Matangazo ya kibiashara

WHO inasema wanawake ambao wamefanyika ukeketaji huripoti matitizo wakati wa kujifungua, na hata kusabisha vifo vya watoto wanaozaliwa.

Twakwimu katika shirika hilo zinaashiria kuwa zaidi ya wanawake 200 kuto duniani wamekeketwa katika mataifa 30 barani Africa na mashariki ya kati.

katika makala haya Benson Wakoli amepata muda wa kuzungumza na mwanadada aliyekeketwa ana anasilimulia kilichofanyika.

Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.