Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Mashirika ya kiraia yanatoa mtazamo kuhusu kufungwa kambi za wakimbizi Kenya

Imechapishwa:

Masharika ya kiraia nchini Kenya yanapinga hatua ya serikali kutangaza kufungwa kwa Kambi za wakimbizi za Kakuma na Dadaab, masharika hayo yakisema serikali inakikuka sheria sheria.Mwanshidhi wetu Benson Wakoli, amefanya mahojiano na James Cira, Kutoka Twaweza East Africa Kenya, kujua msimamo wa mashirika ya kiraia kuhusu kufungwa kwa kambi hizo.

wakimbizi wakiwa katika kambi ya  Kakuma, nchini  Kenya,  20 juin 2015.
wakimbizi wakiwa katika kambi ya Kakuma, nchini Kenya, 20 juin 2015. REUTERS
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.