Pata taarifa kuu
Jua Haki Zako

Mahojiano na Peter Solomon anayepinga kufungwa kambi za wakimbizi Kenya

Imechapishwa:

Serikali ya Kenya ilitoa makataa kwa shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia wakimbizi UNCHR ,kufunga kambi za wakimbizi ya Daadab na Kakuma kwa kohofu makali ya Corona na swala la usalama.Hata hivyo mashirika ya kiraia yalifika mahakamani kupinga hatua huyo. Peter Solomon ni mmoja wa wakenya waliofika mahakamani.Mwandishi wetu Benson Wakoli amefanya mahojiano naye,kufahamu ni kwa nini anapinga kufungwa kwa kambi hizo.

Sehemu ya wakimbizi wa Somalia wanaopatiwa hifadhi kwenye kambi ya Daadab nchini Kenya
Sehemu ya wakimbizi wa Somalia wanaopatiwa hifadhi kwenye kambi ya Daadab nchini Kenya Reuters
Vipindi vingine
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.