Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Ukeketaji donda sugu UNICEF yasema

Imechapishwa:

Katika  makala haya ya  Habari Rafiki,  tunajadili kauli ya shirika la kutetea haki za watoto la UNICEF, kwamba wasichana milioni 230 duniani wamekeketwa, ikiwa ni ongezeko la asilimia tano katika kipindi cha miaka nane takwimu hizi zikitia hofu.

UNICEF
UNICEF © UNICEF
Matangazo ya kibiashara

Unadhani tunapashwa kubaliana  vipi na tamaduni hii ?

 

Skiza makala haya kuskia baadhi ya maoni yako

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
  • 09:41
  • 09:48
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.