Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Maoni ya waskilizaji kuhusu malalamiko ya wasanii wa Kenya kunyimwa mirabaha

Imechapishwa:

Makala haya mtangazaji wa zamu Habari Rafiki Juma hili Ali Bilali anazungumzia kuhusu malalamiko ya wasanii nchini Kenya kuhusu kunyimwa mirabaha, baada ya kukusanywa na mamlaka husika, kinyume na ilivyo nchini Tanzania ambako licha ya changamoto zilizopo angalau wamepiga hatuwa kwenda mbele. Hali ikoje nchini mwako?

Ala za muziki ikiwa ni pamoja na gitaa, ngoma, kinanda, matari.
Ala za muziki ikiwa ni pamoja na gitaa, ngoma, kinanda, matari. Getty Images/iStockphoto - thegoodphoto
Matangazo ya kibiashara

Usikosi pia kumfollow mtangazaji wako Ali bilali Instagram kwa kubonyeza hapa @billy_bilali

Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.