Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Jumuiya ya kimataifa kuongeza shinikizo kwa Israel na Hamas kusitisha mapigano

Imechapishwa:

Kwenye makala yetu ya leo tunajadili kuhusu kuhusu jumuiya ya kimataifa kuongeza shinikizo kwa Israel na Hamas kusitisha mapigano.Unafikiri kwa nini mataifa yanashindwa kuzishinikiza pande hizo kusitisha mapigano? Nini zaidi kifanyike kupata suluhu ya mzozo kati ya pande hizo mbili ? sikiliza 

Malori yaliyojaa misaada ya kibinadamu iliyokusudiwa kwa raia yanawasili kwenye mpaka na Rafah kuingia Gaza, Desemba 18, 2023.
Malori yaliyojaa misaada ya kibinadamu iliyokusudiwa kwa raia yanawasili kwenye mpaka na Rafah kuingia Gaza, Desemba 18, 2023. REUTERS - IBRAHEEM ABU MUSTAFA
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.