Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Marekani yatangaza usitishwaji vita wa saa 72 kati ya waasi wa M23 na jeshi la FARDC nchini DRC

Imechapishwa:

Marekani imetangaza usitishwaji vita wa saa 72, uliokubaliwa na pande zinazopigana mashariki mwa DRC.Ukumbuke kuwa Novemba mwaka jana makubaliano mengine ya kusitisha mapigano yalipitishwa kati ya waasi wa M23 na wanajeshi wa FARDC.Wasikilizaji wetu wanawaza nini kuhusu usitishaji wa vita hivi punde,je  utadumu? Hebu sikiliza 


Wanajeshi wa Kongo kutoka kikosi cha kikanda cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwakaribisha wanajeshi wa Burundi mjini Goma, Machi 5, 2023
Wanajeshi wa Kongo kutoka kikosi cha kikanda cha Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) wakiwakaribisha wanajeshi wa Burundi mjini Goma, Machi 5, 2023 © Alexis Huguet / AFP
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.