Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mkutano wa wanachama wa Ecowas wafanyika jijini Abuja nchini Nigeria

Imechapishwa:

Viongozi wa nchi za Afrika Magharibi, wametoa masharti kwa nchi ya Niger kumuachia huru Rais Bazoum na kuindolea vikwazo nchi hiyo baada ya kukutana jijini Abiuja nchini Nigeria.Na kwenye makala yetu ya leo tulikuuliza iwapo Unadhani ECOWAS iko sahihi kuendelea kuweka vikwazo dhidi ya Niger, Mali na Burkina Faso?Sikiliza maoni ya baadhi ya wasiikilizaji wetu 

Wakuu wa nchi wanachama wa ECOWAS wakusanyika Abuja kwa mkutano wa kilele wa shirika la kikanda mnamo Desemba 10, 2023.
Wakuu wa nchi wanachama wa ECOWAS wakusanyika Abuja kwa mkutano wa kilele wa shirika la kikanda mnamo Desemba 10, 2023. © KOLA SULAIMON / AFP
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.