Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Umoja wa mataifa washindwa kuafikiana kuhusu mapigano kwenye eneo la Gaza

Imechapishwa:

Msikilizaji kwenye makala yetu hii leo tunazungumza kuhusu, baraza la usalama katika Umoja wa Mataifa kushindwa kuafikiana kuhusu usitishwaji wa mapigano kwenye eneo la Gaza baada ya kura ya turufu ya Marekani.Hebu sikiliza maoni ya raia kutoka mataifa mbalimbali.

Kikosi cha kijeshi cha Israel kikirusha kombora kuelekea Ukanda wa Gaza, Jumapili Desemba 10, 2023.
Kikosi cha kijeshi cha Israel kikirusha kombora kuelekea Ukanda wa Gaza, Jumapili Desemba 10, 2023. AP - Leo Correa
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.