Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Kenya : Mfalme Charles III akosa kuomba msamaha licha ya matarajio

Imechapishwa:

Katika makala haya tunajadili  hatua ya mfalme wa Uingereza Charlers wa III, kujutia vitendo vya kikoloni vilivyotekelezwa nchini Kenya bila kuomba radhi kama alivyotarajiwa, huku rais wa Ujerumani Frank-Walter Steinmeier, akikiri makosa ya kikoloni yaliofanyika nchini Tanzania, na kuomba msamaha


Rais  Frank-Walter Steinmeier tarehe 16 Juni 2023.
Rais Frank-Walter Steinmeier tarehe 16 Juni 2023. © Nadja Wohlleben / Reuters
Matangazo ya kibiashara
Baadhi ya mashirika ya kiraia yametoa kwa kiongozi huyo kuomba msamaha kutokana na yaliofanyika wakati wa ukoloni
Baadhi ya mashirika ya kiraia yametoa kwa kiongozi huyo kuomba msamaha kutokana na yaliofanyika wakati wa ukoloni REUTERS - PHIL NOBLE

Unazungumziaje matamshi ya viongozi hawa wawili ?

Haya hapa baadhi ya maoni yako.

Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.