Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

DRC yaitaka Monusco kuondoka mwishoni mwa mwaka huu wa 2023

Imechapishwa:

Mamlaka ya DRC imeiomba tume ya Umoja wa Mataifa MONUSCO kuwaondoa wanajeshi wake elfu kumi na nne kabla ya mwisho wa mwaka huu. Kwa upande wake katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres yeyé anaamini kuwa hali nchini DRC inazidi kuzorota. Tumekuuliza unadhani ni wakati mwafaka kwa MONUSCO kuondoka nchini DRC?Jeshi la Congo FARDC linaweza kurejesha usalama na amani nchini humo? Kukuletea makala hii naitwa Ruben Lukumbuka

Wanajeshi wa MONUSCO wakipiga doria wakati wa ujumbe wa usalama ukitembelea Kitshanga, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tarehe 11 Desemba 2022. (Picha ya faili)
Wanajeshi wa MONUSCO wakipiga doria wakati wa ujumbe wa usalama ukitembelea Kitshanga, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, tarehe 11 Desemba 2022. (Picha ya faili) © AFP - Guerchom Ndebo
Vipindi vingine
  • 08:40
  • 10:09
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.