Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mali yaidhinisha katiba mpya baada ya kura ya maoni ya mwezi uliopita

Imechapishwa:

Nchi ya Mali kupitia kiongozi wake wa kijeshi Kanali Assimi Goita imetangaza katiba mpya ya nchi hiyo na ambayo upinzani imepinga na hivyo kutishia maandamano.Uchaguzi wa nchi hiyo ulitarajiwa kufanywa mnamo Februari 2022, lakini ukaahirishwa hadi Februari 2024.

Kanali Assimi  Goita katika taarifa kwa vyombo vya habari mjini Bamako mnamo Agosti 19, muda mfupi baada ya kulazimishwa kujiuzulu
Kanali Assimi Goita katika taarifa kwa vyombo vya habari mjini Bamako mnamo Agosti 19, muda mfupi baada ya kulazimishwa kujiuzulu © AFP
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.