Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Je viongozi wa ukanda wameshindwa kutatua changamoto za usalama kwa nchi wanachama

Imechapishwa:

Mwishoni mwa wiki iliyopita, viongozi kutoka mataifa ya Afrika walikutana nchini Burundi kujadili jitihada za kujaribu kuleta Amani mashariki mwa DRC, eneo ambalo makundi ya waasi wameendelea kuwaua raia. Tunaangazia mtazamo wako kuhusiana na mkutano huo uliofanyika mjini Bujumbura. Je, viongozi hao wamechukua maamuzi muhimu yatakayosaidia kuleta Amani?

Viongozi wa Afrika mashariki katika mkutano mjini Bujumbura, Burundi, Februari, 4, 2023
Viongozi wa Afrika mashariki katika mkutano mjini Bujumbura, Burundi, Februari, 4, 2023 © EAC
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.