Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Wasikilizaji wa RFI Kiswahili watoa mada kwa uhuru

Imechapishwa:

Kama ilivyo ada kila siku ya ijumaa makala ya Habari rafiki ni mada huru, tunatoa nafasi kwa wasikilizaji kuchangia swala walitakalo ambapo pia wanaweza kuzungumzia taarifa ambazo tumekuwa nazo katika matangazo yetu ya wiki hii..Ungana na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka, moja kwa moja kutoka studioni kukuletea maoni ya wasikilizaji waliyotuma kwa njia ya whatsApp

Le journaliste Ruben Lukumbuka en plein montage de l'emission appels sur actualité Mars 2023
Le journaliste Ruben Lukumbuka en plein montage de l'emission appels sur actualité Mars 2023 © Ruben
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.