Pata taarifa kuu
Habari RFI-Ki

Mataifa ya Afrika yazidi kukopa fedha kutoka mataifa ya Magharibi.

Imechapishwa:

Nchi za Afrika zimezidi  kukopa kutoka kwa shirika la fedha duniani IMF ,vilevile Rais wa Ghana amewataka viongozi wa Afrika kuacha kuomba  mikopo  kutoka kwa nchi za Magharibi. Tumekuuliza Kwa nini unafikiri Afrika inahitaji mikopo zaidi?  je, nini athari za mikopo hii kwa uchumi?Sikiliza makala habari rafiki kwa mengi zaidi

Hela za Nigeria
Hela za Nigeria AP - Sunday Alamba
Vipindi vingine
  • 10:00
  • 10:13
  • 10:00
  • 09:51
  • 09:52
Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.